Kikosi cha timu ya JKU kikipasha misuli kabla ya mchezo wao wa Robo Fainal na timu ya Yanga kuanza na kuibuka mshindi kwa kuifunga Yanga bao moja katika kipindi cha pili cha mchezo kupitia mshambuliaji wake Amour Janja.
kikosi cha timu ya Yanga kikipasha moto kabla ya pambano la jana
Pichani Juu Rais wa TFF Jamal Malinzi akisalimiana na wachezaji wa pande zote mbili kalbla ya pambano la jana usiku
wachezaji wa Yanga wakiwa katika picha ya pamoja
wachezaji wa JKU wakiwa katika picha ya pamoja
SOURCE:http://www.zanzinews.com
No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed