Friday, January 02, 2015

LIGI KUU UINGEREZA TOTTENHAM 5 CHELSEA 3

DIEGO COSTA AKIIPATIA CHELSEA BAO LA KWANZA
DIEGO COSTA (19) AKIPONGEZWA NA WACHEZAJI WENGINE WA CHELSEA BAADA YA KUFUNGA BAO
HARRY KEANE AKIISAWAZISHIA TOTTENHAM BAADA YA KUIHADAA NGOME YA CHELSEA
KEANE AKISHANGILIA BAADA YA KUFUNGA BAO
DANNY ROSE AKIIPATIA TOTTENHAM BAO LA PILI
ANDROS TOWNSEND AKIIPATIA TOTTENHAM BAO LA TATU KWA NJIA YA PENATI 
EDEN HAZARD AKIIPATIA CHELSEA BAO LA PILI BAADA YA KUGONGEANA VIZURI NA CESC FABREGAS
NACER CHADLI AKIIPATIA TOTTENHAM BAO LA TANO
JOHN TERRY AKIIPATIA CHELSEA BAO LA TATU
KANE AKISHANGILIA BAADA YA KUFUNGA BAO LA NNE

VIKOSI
Tottenham: Lloris 7; Walker 6.5, Fazio 5.5, Vertonghen 7, Rose 6.5 (Davies 76 - 6); Bentaleb 7, Mason 6 (Dembele 14 - 7); Chadli 8, Eriksen 7.5, Townsend 7 (Paulinho 66 - 6); Kane 9

Subs not used: Vorm, Chiriches, Stambouli, Soldado

Booked: Paulinho, Kane, Bentaleb

Goals: Kane 30, 52; Rose 44; Townsend 45 (pen); Chadli 78

Manager: Mauricio Pochettino 8

Chelsea: Courtois 6; Ivanovic 6, Cahill 5, Terry 7, Azpilicueta 5; Matic 5.5, Fabregas 5.5; Willian 5.5 (Salah 72 - 5.5), Oscar 5 (Ramires 46 - 5.5), Hazard 8; Costa 7

Subs not used: Cech, Zouma, Mikel, Remy, Drogba

Booked: Fabregas

Goals: Costa 18; Hazard 61; Terry 87

Manager: Jose Mourinho 6

Referee: Phil Dowd 6

Attendance: 35,903

Man of the match: Harry Kane

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed