KOLO TOURE AKIWA NA JEZI YA KLABU YAKE MPYA YA CELTIC

KOLO TOURE AKITOKA KUCHEKI AFYA YAKE
Klabu ya soka ya Celtic ya nchini Scotland imekamilisha uhamisho wa mlinzi wa zamani wa klabu ya Liverpool na Ivory coast Kolo Toure katika uhamisho ambao utamuunganisha mchezaji huyo na aliyekuwa kocha wake wa zamani katika klabu ya Liverpool Brendan Rodgers ambaye hivi sasa anafundisha klabu ya Celtic
Toure mwenye umri wa miaka 35 sasa amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kuichezea klabu hiyo, akiongea baada ya kusaini mkataba huo kolo amesema anajisikia furaha kuichezea klabu hiyo kubwa duniani na kwamba yupo tayari kuitumikia klabu hiyo.

No comments:
Post a Comment
only comments that are benefial for this blog is allowed