Saturday, August 04, 2012

LINDEGAARD APATA MKATABA WA MIAKA 4 MAN UNITED

ANDERS LINDEGAARD amesaini mkataba mpya wa miaka minne na manchester united
Mlinda mlango huyo kutoka Denmark alikuwa chaguo namba moja la kocha Sir alex ferguson mpaka alipopata tatizo la kuumia enka mweji januari mwka huu.Golikipa huyo amepona kabisa na atakuwepo katika kikosi cha kocha ferguson kitakachokwenda katika nchi za scandinavia kwa maandalizi ya msimu mpya wa ligi ya uingereza wikiendi hii.

Kocha wa manchester united sir alex ferguson amesema kuwa kipa huyo ni hodari awapo langoni na kwamba atakuwa msaada mkubwa kwa klabu tangu alipotua old trafford, nimefurahi amesaini mkataba mpya na nimefurahi sana kwamba amerudi katika mapumziko akiwa na afya nzuri kabisa.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed