Friday, June 07, 2013

FERNANDINHO ATUA MANCHESTER CITY KWA ADA YA UHAMISHO YA PAUNDI MILION 34

Big move: Fernandinho arrives at the club for a fee of £34m from Shakhtar
FERNANDINHO AKIWA NA JEZI YA MANCHESTER CITY
On the dotted line: New signing Fernandinho with Chief Executive Ferran SorianoMKURUGENZI MKUU WA MAN CITY FERRAN SORIANO AKIWA NA FERNANDINHO WAKATI WA KUSAINI MKATABA
FERNANDINHO AKIWA KATIKA UWANJA WA MANCHESTER CITY WA ETIHAD
Mchezaji huyo wa kiungo kutoka Brazil ambaye anachezea klabu ya Shaktar amethibitishwa kama mchezaji wa manchester city baada ya kufaulu vipimo vya afya katika jiji la manchester. Lakini anatakiwa kuingilia kati baada ya Timu ya shaktar kusisitiza kwamba Manchester city lazima wafikie kiasi cha paundi milioni 42.5 ili waweze kumnyakua mchezaji huyo.
Manchester city wametakiwa kulipa kiasi cha paundi milioni 34 kuweza kukamilisha usajili wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 kutoka nchini Brazil ambaye angependa kuitumia fursa hiyo kujitafutia nafasi katika timu ya taifa ya Brazil katika mashindano ya kombe la dunia yatakayopigwa nchini Brazil mwaka 2014.

Akiongea na waandishi wa habari baada ya kukamilisha usajili huo Fernandinho amesema ninajisikia faraja kuwepo man city na nitajitahidi kwa uwezo wangu wote kuweza kulipa fadhila kwa yote waliyonifanyia.

Malengo yangu nikiwa katika klabu hii ni kushinda mataji yote makubwa, hii ni klabu kubwa na yenye nguvu na ina mashabiki wengi duniani kote.

No comments:

Post a Comment

only comments that are benefial for this blog is allowed